NAIBU WAZIRI Mwanaidi Ali Khamis AMEIAGIZA TAASISI YA MAENDELEO YA JAMII KUJITANGAZA.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Ali Khamis ameziagiza Taasisi na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini kujitangaza kupitia vyombo mbalimbali vya habari ili kuwawezesha wananchi kunufaika na Huduma za vyuo hivyo. Naibu Waziri Mwanaidi ametoa agizo hilo Jijini Arusha mara baada ya kufanya ziara